1 Kings 9:8-9

8 aIngawa hekalu hili linavutia sasa, wote watakaolipita watashangaa na kudhihaki wakisema, ‘Kwa nini Bwana amefanya kitu kama hiki katika nchi hii na kwa Hekalu hili?’

9

bWatu watajibu, ‘Kwa sababu wamemwacha Bwana Mwenyezi Mungu wao, aliyewatoa baba zao Misri, nao wamekumbatia miungu mingine, wakaiabudu na kuitumikia, ndiyo sababu Bwana ameyaleta maafa haya yote juu yao.’ ”

Shughuli Nyingine Za Sulemani

(2 Nyakati 8)

Copyright information for SwhKC